Tangazo la Zabuni ya Wakala wa Utozaji wa Ada za Maegesho Ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara Zilizo Chini ya Tarura Katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro na Halmashauri ya Mji wa Mbulu Katika Mkoa wa Manyara
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA MRATIBU WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI